PROGRESS / MAENDELEO:
0% Completed
Jiografia - Ramani na Upimaji wa Ardhi (Kidato cha Kwanza)
Muhtasari / Summary: Misingi ya ramani, alama na mbinu za kusoma ramani.
✓
Ramani ni picha ya dunia kwenye karatasi bapa. Sifa za ramani: Kichwa, Kipimo (Scale), Mwelekeo (Kaskazini), Alama (Legend). Upimaji wa ardhi unatumia gridi (4-figure au 6-figure codes). Muinuko na mabonde vinaonyeshwa kwa mistari ya kontua (contours).